NITAKUAMBIA kwa nini. Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza ...
Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika. Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni ...
Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha ...
NI wazi wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kujikusanyia wafuasi wengi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kutokana mvuto ...
RAPA Izzo Bizness kutokea Mbeya ana miaka zaidi ya 15 ndani ya Bongo Fleva, ametoa EP moja, The Capricorn (2021), huku akifanya shoo kubwa na miradi mikubwa kwenye tasnia kama kushiriki ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果