Baadaye alijiunga na shule ya upili ya Nairobi kwa msomo ya A level. Alihitimu na shahada ya sheria kutoka chuo kikuu cha Nairobi 1980, kabla ya kujipatia Diploma katika mafunzo ya sheria 1981.
Mgombea huyu mwenye umri wa miaka 55 ana Shahada ya Uzamifu/PhD katika Ikolojia ya Mimea na BSc katika Botany na Zoology kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Anawania kiti cha urais kwa tikiti ya chama ...