Kwa miaka 39, Kenya imetumia mfumo huo wa elimu ambapo ... Nakumbuka akitueleza kwamba shule ya upili ya Ingotse iliyopo katika kaunti ya Kakamega, ilikuwa maarufu kwa viwango vya wanafunzi ...
Watu saba wanaojiita ‘mabwana wa nidhamu’ wametiwa mbaroni kwa kosa la kuwakamata na kuwatesa walevi kinyume cha sheria huko nchini Kenya.