Afrika Kusini inaadhimisha miaka 40 tangu mandamano ya wanafunzi wa Soweto, walipopinga ubaguzi wa rangi katika elimu kwa kulazimishwa kusomeshwa kwa lugha ya Kiafrikana. Mamia ya wanafunzi ...