Jino lililovikwa taji la dhahabu ndio masalia pekee ya shujaa wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba. Alipigwa risasi na kikosi cha kufyatua risasi mwaka 1961 kikiungwa mkono kimya kimya na utawala ...