Maelezo ya picha, Flamingo katika mbuga ya wanyama ya ziwa Nakuru Eneo la kilomita mbili mraba ambalo awali lilijaa miti na majani sasa limefunikwa na maji kutoka kwenye ziwa. Badala ya mtu ...