Emilly Chemto Boiyo mama mjane aliye na watoto sita. Katika boma lake ana nyumba moja tu ya mviringo iliyojengwa kitamaduni kwa kuezekwa nyasi. Chumba chenyewe ni mviringo wenye upana kama futi ...