Emilly Chemto Boiyo mama mjane aliye na watoto sita. Katika boma lake ana nyumba moja tu ya mviringo iliyojengwa kitamaduni kwa kuezekwa nyasi. Chumba chenyewe ni mviringo wenye upana kama futi ...
Wote waliishi katika nyumba ya mama mkwe wake, katika kijiji chenye nyumba za nyasi kando ya barabara za vumbi, saa chache kwa gari kutoka jiji kubwa zaidi nchini humo, Yangon. Zeya, ambaye jina ...