Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumesababisha hasara kubwa ya maisha, kiwewe, kuhama makazi, na uharibifu wa miundombinu muhimu ya afya, ...
JUZI Rais Samia alipokea Tuzo ya Gate Goalkeeper iliyotolewa na Taasisi ya Gates Foundation Dar es Salaam kutambua mchango wake katika sekta ya afya hususani mapambano dhidi ya vifo vya wajawazito na ...
Afya njema na uthabiti wa kifedha ni nguzo mbili muhimu za maisha yenye mafanikio, na zina uhusiano wa karibu zaidi kuliko watu wengi wanavyofikiri. Ustawi wa kifedha hauathiri tu akaunti yako ya ...
KADRI uzoefu wa mama aliyekwisha jifungua na hasa ambao kipindi cha ujauzito wamepitia changamoto kama vile uzazi pingamizi wakati wa kujifungua, huchangia kuwa na hofu ya uzazi ufuatao na hata ...
Amesema awamu ya kwanza ya wauguzi na wakunga 30 wameshapewa mafunzo hayo na malengo la utoaji wa mafunzo hayo ni sehemu ya kuboresha ujuzi kwa wauuguzi na wakunga katika kutoa huduma, ili kuwafanya ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni Muswada wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) 2025 ukiwa na lengo la kuufanyia marekebisho ikiwamo usajili wa wananchama wa sekta binafsi, ...
Kufuatia uamuzi wa utawala wa Trump kusitisha misaada ya nje ya Marekani kwa siku 90, wizara ya afya ya Uganda imewapa wafanyakazi wa afya wanaofadhiliwa fursa ya kufanya kazi "kwa moyo wa ...
Miaka 26 imepita tangu Profesa Hubert Clemence Kairuki, muasisi wa Kairuki Hospital, alipotutoka. Hata hivyo, urithi wake uliojikita katika uimarishaji sekta ya afya, elimu, na viwanda nchini bado ...
Wanywaji hulala haraka na kulala usingizi mnono zaidi katika nusu ya kwanza ya usiku, lakini huamka zaidi katika nusu ya pili ya usiku ambayo ni muhimu zaidi kwa afya. Kunywa vilevi pia kunaweza ...