Mtaalamu wa mambo ya elimu, Neil Donald Fleming kutoka New Zealand, alikuja na nadharia yake ya ujifunzaji iitwayo VARK Leaning styles 1987. Ilijikita katika aina nne za wanafunzi na namna ...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi ...
Mwenyekiti wa JMAT, Sheikh Alhad Mussa Salum alisema taasisi hiyo haina lengo la kufanya ibada za dini mseto na si chombo cha dini kama baadhi ya watu wanavyofikiria. Alisema kinachofanyika ni ...