Takriban mtu mmoja ameuawa na watatu kujeruhiwa katika shambulio "kubwa" la ndege isiyo na rubani iliyofanyika usiku kucha ...
Ukraine yenyewe imesema iko tayari kusitisha mapigano na Urusi kwa siku 30, kupitia mazungumzo kati yake na Marekani ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amezifariji familia mbili zilizopoteza watoto wanne, wakati wakiogelea kwenye bwawa lililokuwa likitumika katika ujenzi. Tukio hilo limetokea Februari 15, mwaka ...
Kwa mujibu wa ushahidi wa upande wa mashitaka, marehemu alikuwa akiishi na Mollel ambaye alikuwa ni mpenzi wake na aliuawa kikatili usiku wa kuamkia Februari 19, 2023.
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.