Mashabiki wa Simba leo wanatarajiwa kumimimika kwa wingi, Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, uliopo maeneo ya Mwenge saa 10:00 jioni kuona timu yao baada ya kuzuiwa, Jumapili iliyopita, Uwanja wa ...