2. Msaada wangu u katika Bwana, aliyezifanya mbingu na nchi. Katika neno la Mungu tulilosoma hapo juu tumeona muimba Zaburi akizungumza hali ya mazingira aliyokuwa anapitia kwenye maisha yake, amesema ...
Uamuzi huo ni uthibitisho kuwa familia hiyo yenye asili ya Ufaransa iliisikia na kuitii sauti nzuri ya Mungu na hivyo kumuhusisha mtoto wao na muziki mapema kwani fungu lake kubwa alilopangiwa hapa ...