Mambo yalibadilika baada ya kushinda shindano la DJ Show ya Radio One, hivyo kuzawadiwa nafasi ya kufanya kazi na MJ Records ambapo alirekodi wimbo 'Sema Unachotaka' ulioweka kwenye albamu, Asubuhi ...
Katika misimu iliyopita tumeshuhudia vijana waliokuwa na ndoto na sauti nzuri wakigeuka kuwa mastaa wa muziki wa Bongo Flava. Phina, Asagwile, Kayumba, Kala Jeremiah na wengine. Sasa madogo wanapewa ...
Tunachojua ni kwamba Yao Kouassi atarudi katika nafasi yake pindi akipona na Yanga itaendelea kukamilika. Lakini sasa wana mechi ya machozi, jasho na damu dhidi ya MC Alger katika Uwanja wa Mkapa pale ...
Kahama. Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamejitolea kuchangia damu katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani humo ili kunusuru maisha ya wahitaji ...
Wapoozwe. Huu ni mwaka wa uchaguzi na hakuna ubishi siasa za Zanzibar licha ya uwapo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), bado zinaathiriwa na mzimu wa machozi, jasho na damu zilizomwagika na ...
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imewaomba watanzania kujitokeza kuichangia damu ili kuokoa maisha ya majeruhi wanaohitaji huduma hiyo. Ombi hilo lilitolewa jana na Kaimu Mkurugenzi ...
kutokwa na damu (kutapika kwa damu), malaise (udhaifu wa mwili) na katika hatua ya baadaye ya ugonjwa, kutokwa na damu kwa nje (kutokwa na damu kwenye matundu). Serikali ya Tanzania haijatoa ...
Wafanyakazi hao watatoa msaada wa kiufundi na vifaa kwa Wizara ya Afya ya Uganda, WHO imesema katika taarifa iliyotolewa mjini Kampala. Wizara ilitangaza mlipuko wa Ebola siku ya Alhamisi baada ya ...
Ugonjwa ulipoendelea, alianza kutokwa na damu kutoka kwenye matundu ya sehemu za mwili. Alifariki tarehe 16 Desemba mwaka jana. Mmoja wa wahudumu wa afya aliyehumdumia alikufa baada ya siku kumi ...