GOLIKIPA wa zamani wa Simba, Yanga, Azam FC, Deogratius Munishi 'Dida' na kiungo mkabaji, Said Makapu, wamejiunga na Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, imefahamika. Geita Gold imewasajili ...