Kwa mara nyingine Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya wizi wa gari na fedha inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe (36), maarufu ...
Dar es Salaam. Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza’ ni Enioluwa ...
GOLIKIPA wa zamani wa Simba, Yanga, Azam FC, Deogratius Munishi 'Dida' na kiungo mkabaji, Said Makapu, wamejiunga na Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, imefahamika. Geita Gold imewasajili ...
Malkia Ntokozo kaMayisela alifika mahakamani kupinga harusi inayotarajiwa kufanyika baadaye wiki hii. Licha ya uamuzi huo, haijulikani ikiwa harusi hiyo itaendelea kama ilivyopangwa au la.