Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Mbinu hii ya mafanikio iliwawezesha wanasayansi kushinda ugumu uliofikiriwa kutowezekana katika uzazi wa mamalia wa jinsi moja. Katika majaribio ya hapo awali, viinitete vya panya havikuweza kukua ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Mikopo hiyo ilisitishwa Aprili 13, 2023 ili kutafuta utaratibu mwingine wa kuitoa baada ya uwepo wa kelele nyingi kuhusu namna ya ukopeshaji huo ikiwemo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali ...
Dar es Salaam. Wadau wa nishati nchini wamependekeza vyama vya siasa vieleze katika ilani zao za uchaguzi mkakati wa kuwezesha nishati safi na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Wametaka vyama ...
Hata hivyo, WHO inaonyesha tahadhari kwamba asilimia 95 ya vifo hivyo (wastani 567,150) vimetokea katika nchi za Kiafrika na idadi iliyobaki (wastani 29,850) ndio vinatokea katika mabara mengine ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果