“Kwa hiyo kilitumika kifaa cha uchunguzi kiitwacho (Bronchoscopy) cha aina mbili na kutoa kamasi kwa wingi. Wakati wa mchana, alipewa tena hewa ya mitambo isiyo na uvamizi. “Baba Mtakatifu ameendelea ...
"Hawana uwezo wa kimaumbile kumeza vitu vikubwa kama kifaa cha kuogelea kayak, magurudumu, au hata samaki wakubwa ," alisema. "Hatimaye, nyangumi alitupa kayak kwa sababu ilikuwa ni jambo ...
Katika miongo michache iliyopita, simu zimebadilika kutoka kuwa zana za mawasiliano hadi kuwa kifaa cha kidijitali kilichojumuisha kila kitu, na sasa dunia yote inawezekana kufikiwa kwa kugusa kidogo ...
Hii ni ardhi yetu." Utafutaji wake wa kukata tamaa unakuwa mgumu zaidi kwa sababu majengo ya jirani yameanguka juu ya kila moja. “Labda wakati ninapoondoa vifusi, nitapata mwili wa binadamu, au kifaa ...
Akizungumza wakati wa hafla ya kupokea mashine hiyo, mtaalamu wa radiolojia katika Hospitali ya Mount Meru, Dk Edward Joseph ameishukuru Serikali kwa kuiwezesha hospitali hiyo kuwa na kifaa hicho cha ...
Hatimaye alinunua kifaa cha kupima DNA nyumbani, na matokeo aliyopokea mwishoni mwa Januari 2024 yalithibitisha kwamba hayakuwa na uhusiano wa kibaolojia, kulingana na malalamiko yaliyowasilishwa ...
“Mtaala huu huwafundisha wazazi mbinu za kufanya mazoezi ya lugha nyumbani ili watoto wao waweze kuendeleza lugha na kuongea kwa haraka zaidi,” alifafanua. Alieleza, kifaa cha usikivu, ...
Omary alisema katika awamu hiyo ya kwanza kwa Wilaya ya Ruangwa wamekabidhi matrekta matano, majembe matano ya kulimia, vifaa vya kuchimbia na kusafisha mashamba na kifaa cha kuvunia mazao. Alisema ...
"Lakini mtu alikuwa akisikiliza au kusoma kazi zangu, alikuwa hawezi kujua niko upande gani. Nakumbuka mechi ya FA Yanga anafungwa mabao manne na Simba niliumia, nikashindwa kujizuia, nikaondoka na ...
"Kwa sasa kijana wenu nimepona kabisa ugonjwa wa moyo uliokuwa unanisumbua kwa kipindi cha miaka yote na jana jioni nimeruhusiwa kuendelea na mapumziko ... Ila kuna mengine huwa yanasubiri mtu awe mtu ...
Hii inafuatia kuzuka kwa moto katika baadhi ya sehemu ya uwanja wa ndege wa JKIA kuelekea Barabara ya 75 Airport North. Mamlaka imesema kuwa shughuli zote za viwanja vya ndege, ikiwa ni pamoja na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果