资讯

MWENGE wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye sh. bilioni 1.494 ambao unakwenda kuhudumia wananchi 6,407 wa vijiji vya Kwala na Mwembe Ngozi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. Meneja wa Wakala wa Maji ...
MWENYEKITI wa Kamati ya Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere za Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametaja majina ya waandishi ...
Klabu ya Singida Black Stars leo, Jumatatu inaandika historia mpya kwa kuzindua rasmi uwanja wao wa nyumbani wa Airtel hapa Mtipa unaotajwa kuwa wa kisasa zaidi katika mkoa wa Singida. Uzinduzi huu ...
Kwa hiyo, huwezi kurejea kama hujaenda chama kingine,” amesema. Dk Masabo amesema kwa muda mrefu, Dk Slaa amekuwa akifanya harakati ambazo kwa sasa zinafanana na mtazamo na mwelekeo mpya wa Chadema.
Pia, amesema sera mpya ya ardhi itajumuisha na kuyapa misingi ya kisera masuala ambayo hayakuzingatiwa na sera iliyopita. Rais Samia alisema wakati wa utekelezaji wa sera ya awali baadhi ya shughuli ...