Kiongozi huyo alitoa wito huo hivi karibuni katika Kijiji cha Mianzi Kata ya Msanga, wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wakati wa uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji uliofadhiliwa na taasisi ya Lalji ...