RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na ...
Hatua hii mpya inakwenda sambamba na matakwa ya Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote Na. 13 ya mwaka 2023, inayolenga kuleta mageuzi katika mifumo ya afya ili kuongeza ulinzi wa kifedha na kuboresha ...
Mbosso alikutana na Kikwete juzi Dar es Salaam na kusema amefurahi kuona msanii huyo amepona na kuahidi atamsaidia kumkutanisha na Rais Samia ili kumpa shukrani kwa juhudi kubwa za kuboresha sekta ya ...
Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au ...
Mei 2024, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Ummy Mwalimu alisema serikali imeendelea kuboresha sekta ...
Mawakili wake waliambia vyombo vya habari wiki iliyopita kuwa baada ya kumtembelea gerezani kwamba afya yake ilikuwa ikizorota. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuboresha ...
Vilevile, upanuzi wa barabara ya Mwanza – Usagara – JPM Bridge (km 37) unaendelea ili kuboresha mtandao wa usafiri mkoani humo. Mlavi aliongeza kuwa TANROADS imeweka mkakati wa miaka mitano wa kukuza ...
Masuala kama vile uhusiano wa kibiashara na ushirikiano wa utekelezaji wa sheria ambao Uingereza inatumai kuboresha na Umoja wa Ulaya kwa siku zijazo. Nchi mwenyeji Ufaransa inajivunia.