Unguja. Benki ya Dunia (WB) imeipatia Zanzibar Dola za Marekani 100 milioni (Sh260 bilioni) kuimarisha miundombinu ya sekta ya afya kisiwani hapa. Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo Kanda ya Kusini ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na ...
Hapa kuna mbinu tano na vidokezo juu ya jinsi ya kuboresha usingizi wako nakupunguza ... nusu ya pili ya usiku ambayo ni muhimu zaidi kwa afya. Kunywa vilevi pia kunaweza kuvuruga utaratibu ...
Mifumo thabiti ya taarifa itawezesha ukusanyaji, uchakataji, na usambazaji wa takwimu sahihi za afya, hivyo kusaidia kufanya maamuzi bora, kufuatilia maendeleo, na kuboresha utoaji wa huduma za afya ...
kuimarisha afya ya wananchi na kuendeleza afya na lishe ya mama, watoto wachanga na vijana. Tuzo hii inaonyesha maendeleo ya Tanzania katika kukabiliana na utapiamlo na kuboresha afya chini ya uongozi ...
DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema tangu mwaka 2021 serikali imetekeleza hatua mbalimbali kuboresha afya ya uzazi, afya ya mama na watoto wachanga pamoja na lishe. Kiongozi huyo wa nchi ...
Mbosso alikutana na Kikwete juzi Dar es Salaam na kusema amefurahi kuona msanii huyo amepona na kuahidi atamsaidia kumkutanisha na Rais Samia ili kumpa shukrani kwa juhudi kubwa za kuboresha sekta ya ...
Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au ...
Tangu kuondoa uhalifu wa jaribio la kujiua, Ghana imeanzisha kampeni za kitaifa za uhamasishaji na kuboresha huduma za afya ya akili ili kuhamasisha tabia za kutafuta msaada. Hata hivyo ...
Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia. Mjadala ...