资讯
Arsenal imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu katika historia ya klabu hiyo baada ya kuwachabanga Real Madrid kwa matokeo ya jumla ya 5-1, kufuatia ushindi wa 2-1 ugenini ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuweka ushuru kwa bidhaa zinazotoka nchi mbalimbali ulimwenguni imezua taharuki kubwa ya kibiashara na uchumi nchini Marekani na kwingineko ulimwenguni ...
Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 60, wanawake pekee wanasafiri kwenda anga za mbali bila kujumuika na mwanaume. Safari hiyo ya kihistoria ilidumu kwa dakika 11 pekee, lakini ilibeba maana ...
Chuo cha Ustawi wa Jamii kimeiomba serikali kukisaidia kuboresha miundombinu kwa kutenga bajeti maalum pamoja na kusaidia kupata wafadhili au wawekezaji wa kujenga hosteli za kutosha kwa wanafunzi ...
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Dar es Salaam, jiji kuu la biashara na lango kuu la kuingilia Tanzania, limekuwa likikua kwa kasi na kuvutia watu kutoka kona mbalimbali za nchi na nje ya nchi. Kwa miaka mingi, jiji hili limekuwa ...
OUAGADOUGOU – Mjumbe Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha ziara yake nchini Burkina Faso kwa kukutana na Rais wa nchi hiyo, ...
Neno mama limetajwa katika Qur’an mara 28 kwa tamko la umoja na wingi. Kawaida, neno hili linapotajwa katika Qur’an hutangamana na msamiati unaoelezea hali halisi ya umama, iwe ya kibiolojia au ya ...
Hiki ni kisa cha kushangaza nchini Kenya. Watu wanne wametiwa mbaroni kwa kujaribu kuuza nje maelfu kadhaa ya Siafu walio hai kinyume cha sheria ili kuuzwa kwa wakusanyaji wa bidhaa hiyo barani ...
MADRID, HISPANIA: LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi na watu wengi ni ile kati ya Arsenal na Real Madrid ...
Ripoti kutoka tovuti ya Telegraph, zinaeleza kwamba Chelsea inaweza kuwa tayari kumuuza fundi huyu lakini kwa kiasi cha pesa ambacho kitakuwa zaidi ya Pauni 100 milioni. Mkataba wa sasa wa Caicedo ...
DODOMA — Ripoti Kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imebainisha kuwa mashirika 15 ya umma yanajiendesha kwa kutegemea mikopo kwa zaidi ya asilimia ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果