Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonesha wasiwasi mkubwa kuhusu athari za kusitishwa kwa ufadhili wa mara moja kwa programu za HIV katika nchi za kipato cha chini na cha kati. Programu hizi hutoa ...
Geita. “Hakuna zaidi ya uzembe, kilichofanyika ni uzembe.” Hii ni kauli ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita, Azza Mtaita aliyoitoa akielezea mkwamo wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Isabageni ...
Kuongezeka kwa hasira kuhusu mashambulizi ya waasi kulisababisha waandamanaji kulenga balozi za kigeni katika mji mkuu, Kinshasa. Wito wa mazungumzo ya amani kukomesha mapigano unazidi kuongezeka.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.