资讯

Donald Trump amesema wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House kwamba Mike Waltz hakuwa na chochote cha kuomba msamaha. "Ikiwa hapakuwa na taarifa za siri ...
Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White House inachagua kutofuata maamuzi ya mahakama na majaji wawili sasa wanatishia ikiwa utawala wa shirikisho utaendelea kukiuka maamuzi yao ...
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameishutumu Denmark kwa kushindwa kuilinda Greenland ... walikuwa ni sehemu ya ujumbe wa Ikulu ya White House, waliotembelea kambi ya kijeshi ya Marekani ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuweka ushuru kwa bidhaa zinazotoka nchi mbalimbali ulimwenguni imezua taharuki kubwa ya kibiashara na uchumi nchini Marekani na kwingineko ulimwenguni ...
Arsenal imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu katika historia ya klabu hiyo baada ya kuwachabanga Real Madrid kwa matokeo ya jumla ya 5-1, kufuatia ushindi wa 2-1 ugenini ...
Mkuu wa afya ya umma wa UNHCR Allen Maina ametolea mfano katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba bajeti ya afya ya UNHCR ya mwaka 2025 imepunguzwa kwa asilimia 87 ikilinganishwa na ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema katika tathmini yake kwenye miradi minne iligundua kuwa Sh. 2,014,922,360 zililipwa kwa fedha taslimu, ikiwa ni malipo ya ...
Akizungumza na Mwanaspoti, mwigizaji huyo wa Bongo Movie amekiri mpango huo ni kweli kwani aliolewa kwa sherehe na na atatoka kwa sherehe. "Eeeh! sio shida nzangu kufanya sherehe, sasa kwa nini ...
Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 60, wanawake pekee wanasafiri kwenda anga za mbali bila kujumuika na mwanaume. Safari hiyo ya kihistoria ilidumu kwa dakika 11 pekee, lakini ilibeba maana ...
Sikukuu hii ya kusherehekea kufufuka kwa Yesu Kristo hufanyika baada ya kumalizika kipindi cha majuma sita ya Kwaresma. Kufuatia sikukuu hiyo ya Pasaka watu hufanya maandalizi ya kusherekea siku hiyo ...
Biashara ya kimataifa inaweza kupungua kwa asilimia 3 kutokana na hatua mpya za ushuru zilizochukuliwa na Marekani ambazo kwa muda mrefu zinaweza kubadili na kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa ...
Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya sanaa yake na kuleta ...