Kwa sisi tulio Tanzania, mwaka huu una mvuto wa kip­ekee tukiwa tunaadhimisha miaka 45 ya uhusiano baina ya nchi hizi mbili.