Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa Vyakula la ...
Jeshi la Ulinzi la Raia la Syria - linalojulikana kama White Helmets - liliambia BBC kwamba wengi wa waliouawa walikuwa wakulima na wamiliki wa ardhi ambao walikuwa wakijaribu kurejea katika ardhi ...
Picha na Sunday George Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ally Khatibu, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinavuta hisia za Watanzania wengi na kimekuwa kimbilio ...
Tangu mwanzoni mwa mwaka, eneo hili, pamoja na lile la Oromia, limekumbwa na matetemeko kadhaa ya ardhi, muhimu zaidi ambayo, mnamo Januari 4, yalikuwa na ukumbwa wa 5.7 kwenye kipimo cha Richter.