Wanafunzi wasomao kozi ya huduma za hoteli katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wanatarajiwa kuanza mafunzo ya ziada ya ...
Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa Vyakula la ...
Ijapokuwa mwenendo wa sasa wa homa ya nyani au Mpox duniani inaonekana ‘kutulia’ hali si shwari nchini Jamhuri ya ...
MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la ...
Jeshi la Ulinzi la Raia la Syria - linalojulikana kama White Helmets - liliambia BBC kwamba wengi wa waliouawa walikuwa wakulima na wamiliki wa ardhi ambao walikuwa wakijaribu kurejea katika ardhi ...
Sheria za Schengen zinaruhusu nchi wanachama kuanzisha ukaguzi wa mipakani ili kuepusha tishio la usalama wa ndani. 11.09.2024 11 Septemba 2024 Maudhui yote (7140) kwenye mada hii ...
Akijulikana nchini Ghana kama Malkia wa Hesabu, Dk Angela Tabiri ndiye Mwafrika wa kwanza kushinda shindano la Big Internet Math Off, mafanikio makubwa kabisa kwa mtu ambaye hakuwa amepanga kusoma ...
Baadhi ya vijana wanaodaiwa kufunga barabara katika mtaa wa Kiusa Manispaa ya Moshi Mkoani. Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vurugu na ...
Wanaume waliovalia sare za jeshi la Sudani wanakamata, kuwaua, kukata koo za raia na kujirekodi wenyewe wakiandamana bila kuadhibiwa. John Samuel Bowgo, naibu katibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ...
Tangu mwanzoni mwa mwaka, eneo hili, pamoja na lile la Oromia, limekumbwa na matetemeko kadhaa ya ardhi, muhimu zaidi ambayo, mnamo Januari 4, yalikuwa na ukumbwa wa 5.7 kwenye kipimo cha Richter.