Kocha Msaidizi wa timu ya KenGold, Omary Kapilima amesema wamejipanga vizuri kuikabili Yanga, akiamini mchezo utakuwa mzuri na wanategemea kupata alama tatu katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2024 zilizokuwa zifanyike Tanzania, Kenya na Uganda kuanzia Februari Mosi ...
Two Rivers,Ruaka na pia vipo Kisumu na Nakuru.Kwa madereva wa masafa marefu mipango ipo kuweka vituo njiani ... ya umeme ndani ya mipaka yake na kufikia 3,200 zinaonyesha takwimu za mwaka 2023. Hilo ...
Pia atakabiliana vipi na changamoto zijazo na zile ambazo tayari ziko mbele yake? Akizungumza katika mkutano mkuu jana, Lissu amesema "nimekaa na mwenyekiti (Mbowe) kwa zaidi ya miaka 20 ...
"Tukikutana hivi, hatupigani ngumi. Lakini uhusiano haupo kama mwanzoni." Changamoto nyingine iliyopo mbele ya Chadema ni mustakabali wa wagombea wao. Ukirejelea mashambulizi waliyotupiana ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果