资讯
Jyoti Kishanji Amge, alizaliwa tarehe 16 Desemba 1993, ni muigizaji kutoka India, anayejulikana kama mwanamke mfupi zaidi duniani kulingana na rekodi za Guinness World Records ... Aidha, umekuwa na ...
Shambulizi la simba hivi majuzi nchini Kenya limesababisha msichana wa gredi ya saba kuuawa huku serikali ikiendelea kumsaka ...
Dk Mwasaga alisema kwa mujibu wa ripoti ya kimataifa ya masuala ya kimtandao (GCI) 2024, Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa kwa kuorodheshwa kwenye Daraja la Kwanza miongoni mwa nchi 46 duniani ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, aamesema timu yake itaenda Afrika Kusini kushambulia na kufunga, si kulinda bao moja walilopata nyumbani na kwamba katika dakika 10 za kwanza wataipa Stellenbosch ya ...
Bakteria hii huvumilia kwa muda mrefu, kisha hutokea kwa mnyama kupitia hewa au vidonda ... Hifadhi ya Virunga, inayofunika eneo la kilomita za mraba 7,800 (maili za mraba 3,000), ni moja ya hifadhi ...
Taarifa ya kila mwaka inaonyesha kuwa jumla ya watu 1,518 walinyongwa duniani kote mwaka 2024, ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 32 kutoka mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Shirika la Amnesty ...
Wanawake siku hizi wana uwezekano mkubwa kuliko wakati mwingine wowote wa kuishi wakati wa ujauzito na kujifungua, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa sanjari na sikuhii ya ...
WHO imesisitiza kuwa kadri migogoro inavyozidi kuongezeka duniani kote, wanawake na wasichana wanabeba mzigo mkubwa wa matatizo ya afya ya akili. Kuanzia Afghanistan na Gaza hadi Georgia na Ukraine, ...
Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
Wizara ya biashara ilisema China pia imewasilisha malalamiko kwa Shirika la Biashara Duniani-WTO. Inasema kuwa kile kinachojulikana kuwa ushuru wa forodha wa kutendeana ni ukiukaji mkubwa wa ...
Donald Trump amewataka viongozi wa kigeni kuondoa ushuru wao na kununua bidhaa zao. Ushuru mkubwa mpya uliozinduliwa na rais wa Marekani utaanza kutekelezwa Aprili 5 na 9, Ikulu ya White House ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果