Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote – waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, ...
Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote – waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, wachekeshaji, vilevile wenye ushawishi mitanadaoni ...
NI wazi wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kujikusanyia wafuasi wengi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kutokana mvuto ...
NITAKUAMBIA kwa nini. Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza ...
MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama, amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA ...
Wanamuziki wa Muziki wa asili wamebadili vionjo vya asili wakijumuisha na vionjo vya Kisasa ili kuupaisha Muziki Kimataifa, Steven Mumbi amezungumza na Leo Mkanyia Mwanamuziki wa Muziki wa Asili ...
rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameamua kuanzisha mgomo mpya wa kula ili kupinga kuendelea kuzuiliwa licha ya hali zao za kiafya, ambao hawapati huduma inayohitajika. Kutokana na ukimya ...
Tuzo za Grammy zimetenga kitengo maalum cha muziki kutoka barani Afrika, ila mwaka mmoja tu baada yah atua hiyo kuchukuliwa , kitengo hicho kimezua utata. Msanii wa Afrika Kusini Tyla, alikuwa ...
MAISHA yanakwenda kasi sana. Hivi sasa disco linatumia vyombo vingi vya kisasa, muziki ukipigwa unaweza kusema kuwa labda ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...