Mahakama Kuu Kanda ya Musoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa, mkazi wa kijiji cha Mkengwa katika wilaya ya Tarime, Wangoko Matienyi, kwa kosa la kumuua mgambo kwa kumchoma kisu mbele ya ...