Wakati huo wewe ukienda kazini unakutana na kina Shanteel, wanawake wanaochukia kuzeeka; ukiwatazama hivi ni kama kivutio cha utalii. Sasa ukilinganisha haya unayoyaona nje na mkeo ni pilau na mlenda, ...