资讯

MAZOEZI ya kijeshi ya majini yanayoandaliwa kwa pamoja kati ya India na Tanzania, yameanza katika Bahari ya Hindi na kuonyesha jinsi sayansi na teknolojia inavyokuwa kwa kasi na kurahisisha kazi ya ul ...
Yule mkali wa pasi za mabao katika Ligi Kuu England (EPL), Kevin De Bruyne hatimaye ataondoka Manchester City mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mafanikio makubwa ndani ...
SIMBA hawajaacha kitu katika pambano la kesho pale Temeke. Wazungu huwa wanasema ‘No stone unturned’. Hakuna jiwe ambalo ...
NI tukio la kihistoria lililotikisa dunia, roketi ya New Shepard, inayomilikiwa na kampuni ya Blue Origin ya Jeff Bezos, ilirushwa kutoka Texas, Marekani, ikiwa imebeba wanawake sita, waliounda kundi ...
Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hassan Mtenga amekitaka chama hicho kuwachukulia hatua kali wale aliowataja kuwa ‘wahuni’ ...
Dar es Salaam: Timu ya Simba imetangulia hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya jana kuichapa Bigman FC inayoshiriki Ligi ya Championship kwa mabao 2-1, katika mchezo ...
Yoon alijulikana tangu akiwa mdogo kama mtu aliyejikita kwenye kushinda kwa gharama yoyote. Rafiki yake wa utotoni, Chulwoo Lee, anasema kuwa Yoon hakuwa tu mrefu na mwenye nguvu darasani ...
Nilianza kwa kuzungumza na wasichana walionizunguka,baadae niliwashirikisha rafiki zangu kuanzisha tovuti ambayo ilitoa elimu ya ujasiriamali,tuliweka machapisho ya jinsi ya kutengeneza wazo la ...