MTOTO wa mwigizaji Kajala Masanja, Paula amesema katika maisha yake yeye ndiye aliyeutaka umaarufu na umaarufu ukamfuata wenyewe kutokana na kupostiwa na mama yake kwenye mtandao wa Instagram. Paula ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Hii inanifanya muda mwingine nitamani kama vipi Paula wa Kajala - mtoto wa P Funk akimaliza kulea mtoto wake na Marioo atulie akabidhiwe mikoba ya baba yake aokoe jahazi angalau tuwe na prodyuza wa ...
Donald Trump amerejea tena katika Ikulu ya White House baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa taifa hilo Jumatatu tarehe 20 Januari. Trump ameahidi kuanza kwa "enzi mpya" kwa nchi hiyo na ...