Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi, ambapo inadaiwa mtuhumiwa alikuwa akitoa vitisho vya kumuua mkewe na mtoto wao mara kwa mara. Baada ya tukio hilo, Jeshi la ...