Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi, ambapo inadaiwa mtuhumiwa alikuwa akitoa vitisho vya kumuua mkewe na mtoto wao mara kwa mara. Baada ya tukio hilo, Jeshi la ...
Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.
Dar es Salaam. Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwanamitindo ...
Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja nchini Iran vinaadhibiwa kwa kifo, lakini wanazuoni wa huko wanakubali wazo kwamba mtu anaweza kunasa katika mwili wa jinsia isiyofaa. Maelezo ya picha ...
Akiwa mwenye bashasha baada ya kunywa kikombe cha kahawa alicholetewa muda mfupi baada ya kuanza hotuba yake Rais Samia alishindwa kuficha mapenzi yake dhidi ya kinywaji hicho na kueleza anavyokipenda ...
MBONA kimya. Hili ni swali kwa mkali wa Hip Hop kutoka Arusha, Dogo Janja ambaye baada ya kuangukia kwenye penzi la mrembo Queen Linah, wengi wanaamini ndiyo sababu za kutokutoa nyimbo na maisha kwake ...
SOMA ZAIDI: Auawa kwenye baa yake kwa wivu wa mapenzi Kwa mujibu wa kaka yao mkubwa, Peter Lukala amesema wadogo zake waliingia kwenye mzozo huo wakati wakipika ugali baada ya kutoka kwenye kazi ya ...