TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mara ya kwanza inaanza uandikishaji wapigakura kwa wafungwa, wanafunzi wa vyuo vya mafunzo na mahabusu kwa kuweka vituo kwenye magereza yote Tanzania Bara na ...
Serikali imesema mwaka 2025, itapeleka Sh250 milioni kwa kila jimbo kwa ajili ya kuanza kujenga vituo vya afya vya kimkakati Tanzania Bara. Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mitaa na ...
Dodoma. Bunge limeazimia vituo vya kuandikisha wapigakura na vile vya kupiga kura viwekwe karibu na makazi ya wananchi ili washiriki na kutekeleza haki yao ya kikatiba. Mbali na hilo, pia limeazimia ...
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumesababisha hasara kubwa ya maisha, kiwewe, kuhama makazi, na uharibifu wa miundombinu muhimu ya afya, ...
Mafunzo hayo yatafanyika Dar es Salaam siku tano kwa kundi la kwanza ambapo yana wakunga 30 huku kundi lingine la wakunga ni siku 10 zijazo ambapo jumla itakuwa siku 15 matarajio ni kuwafikia wakunga ...
Kurejeshwa kwa vituo vyote vya mafuta kumekaribishwa na mamlaka ya Mali. Benin Petro na kampuni ya Neutron yenye makao yake makuu Uswisi, itahifadhi zaidi ya wafanyakazi 1,100 wa TotalEnergies ...
Ghasia zinazoendelea zimesababisha huduma muhimu za Haiti karibu ya kuporomoka kabisa. Hospitali zimezidiwa uwezo, huku zaidi ya nusu ya vituo vya afya nchini vikikosa vifaa vya msingi vya matibabu.
Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye ...
Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa vya Marekani, CDC vinasema idadi ya watu walioathirika na virusi hivyo ikiwa ni pamoja na visa vinavyoshukiwa inaaminika kuzidi 50,000 nchini DRC.
Maafisa wa polisi wa serikali ya DRC nao wamegeuka kuwa raia wa kawaida huku wapiganaji wa kundi hilo wakishika doria katika barabara za mji, uwanja wa ndege na vituo vya mpakani pamoja na kushika ...
Katika mapigano ya hivi punde, takriban watu 3,082 wamejeruhiwa na 843 kuuawa, huku hospitali na vyumba vya kuhifadhia maiti vikisemekana "kuzidiwa", WHO imesema, ikinukuu ripoti kutoka vituo vya ...