Hare anapendekeza "kuboresha usingizi wako" na kuongeza: "Kwa mfano, wakati huna zamu ya usiku na unaweza kulala kwa wakati wako wa kawaida.
“Sikubaliani na wanaosema walimu wa Kiswahili hawako Uganda kwa sasa. Wako lakini juhudi za kubadili mtazamo ni muhimu. Vituo vya redio vingekuwa vnatumia Kiswahili lakini hawajakitolea kipaumbele,” ...
TANGU ilipofanyiwa marekebisho mwaka 1992, Ligi Kuu England (EPL), imekuwa nyumbani kwa wanasoka bora na wakubwa wa wakati wote. Kuanzia miaka ya mapema ya Ligi Kuu, magwiji kama Eric Cantona hadi ...
Shinikizo la Marekani kwa Hamas na makundi mengine ya Wapalestina ni jambo la kawaida. Hata hivyo, wakati wa Biden, shinikizo dhidi ya Israel lilikuwa ni kipengele ambacho hakijatekelezwa.
Wakati dunia inakabiliana na changamoto zinazoongezeka, WHO inasema ombi hili la Dharura ya Afya 2025 linaangazia hitaji la haraka la ahadi ya kimataifa ya kuokoa maisha na kulinda afya ya walio ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo ...
Katika ufundishaji kila kocha ana mambo yake anayoyafanya ili tu kusaka pointi tatu. Kwa Hamdi, ameonekana ni kocha asiyependa kukaa kwenye kiti wakati vijana wake wakivuja jasho kupambania pointi ...
Ipo hivi. Wakati Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ikitangaza kurejea kwa mechi za Ligi Kuu Bara wiki ya kwanza ya mwezi ujao wa Februari, taarifa mpya ni kwamba Yanga na Simba zitaanza kwanza kula viporo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果