TIMU ya Kipanga FC inatarajia kuikabili New City FC katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Mau, visiwani hapa. Kocha Mkuu wa Kipanga FC, Hassan Khamis, aliliambia gazeti ...
Akifafanua zaidi kuhusu kauli ya No reforms No Election, Lissu amesema hawamaanishi kwamba watasusia uchaguzi. “Siyo kwamba ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wavuvi wa Ziwa Victoria kuchukua tahadhari kwa kutofika kwenye mipaka ya nchi jirani ili kuepusha mitafaruku ...
TIMU ya Junguni United imeilaza Chipukizi United ya Mjini Chake Chake kwa kichapo cha mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliopigwa kwenye Uwanja wa FFU. WENYEJI wa michuano ya Kombe la ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM ... Hussein Mwinyi kugombea Urais kwa upande wa Zanzibar. Uamuzi huo umefanyika mapema kuliko kawaida, na katika mkutano ambao awali ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
Wagombea hao ni wa nafasi za Mwenyekiti Taifa, Makamu Mwenyekiti Bara na Zanzibar pamoja na wagombea wa ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ... Katika nafasi ya wagombea wa nafasi za Makamu Mwenyekiti kwa ...
DODOMA – SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeongeza kiwango cha malipo ya pensheni jamii kwa kila mzee aliyefi kisha umri wa miaka 70 kwa asilimia 150 huku pensheni kwa wastaafu ikiongezeka kwa ...
KLABU ya Manchester City imekubaliana dili la pauni milioni 33.6 na Lens ya Ufaransa kwa ajili ya kumsajili beki wa kati Abdukodir Khusanov. (BBC) Aidha tetesi za usajili zinaonesha kuwa Aston Villa ...