Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaungwa mkono na Rwa ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy ametangaza siku Jumanne, Februari 25, kwamba Uingereza itasitisha misaada ...
Perezida Paul Kagame aheruka kuvuga ko ibihano "by'uwariwe wese" bitazatuma u Rwanda rureka "uburenganzira" bwarwo bwo ...
Kamanyola ni agace kari mu kibaya cya Rusizi ku mupaka wa DR Congo, u Rwanda n’u Burundi, gafite amateka y’uko ari ho Mobutu ...
Marekani imeweka vikwazo vya kifedha dhidi ya James Kabarebe, Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Rwanda, na Lawrence Kanyuka ...
Gavana wa jiji la pili kwa ukubwa katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) la Bukavu, Jimbo la Kivu Kusini ...
Gavana wa jiji la pili kwa ukubwa katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) la Bukavu, Jimbo la Kivu Kusini ...
Rwanda yatakiwa iache kusaidia M23 Yatakiwa pia iondoe jeshi lake DRC Rwanda na DRC zianze mazungumzo ya kidiplomasia bila masharti yoyote Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lenye wajumbe 15, kwa ...
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), ...
WANAJESHI 200 wakiwamo Watanzania, wanaohitaji huduma ya matibabu walioko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kwa ...
Rwanda kuwekewa vikwazo na Uingereza kutokana na dhima ya nchi hiyo kwenye machafuko yanaendelea taifa jirani la Jamhuri ya ...
CONGO: WAASI wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku Rwanda ikionya kwamba kundi hilo linaweza kuchukua udhibiti wa ...