RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa amefanya mazungumzo ya tija na Katibu wa Marekani Marco Rubio na kuelewana kuhusu hitaji la kuhakikisha kusitishwa kwa mapigani katika DRC Mashariki. Kagame ...
SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na ...
Simu ikakatwa. Nikatoka maliwatoni na kurudi sebuleni. Nilipoketi tu simu ikaita tena. Nikaitoa kwenye mkoba na kutazama namba. Ilikuwa namba ile ile ya mtumishi wangu. Nikaipokea mbele ya Sele.