KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea ...
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema anafahamu ugumu uliopo katika Ligi ys Championship huku akieleza kuwa ...
JANA ilichezwa mechi kubwa zaidi kwa majirani zetu Kenya kwa kuzikutanisha timu za Gol Mahia na AFC Leopards katika mchezo wa ...
"Hussam Shabat, mwandishi wa habari aliyekuwa akishirikiana na Al Jazeera Mubasher, ameuawa katika shambulio la Israel ...
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Usangu Foundation na On Africa Construction, Niazhan Ibrahim, amekabidhi zawadi mbalimbali ...
Kwa mujibu wa taarifa ya CNBC, taifa jingine la Afrika linapangwa kuongoza juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani.
Taarifa kutoka Wizara ya Mawasiliano imesema shambulizi hili la kighaidi linalodaiwa kupangwa na kundi la al-Shabab, wanaopinga utawala wa serikali ya shirikisho la Somalia. Hata hivyo, taarifa hiyo ...
Dar es Salaam. Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imeonesha wanaume wapo hatarini zaidi kufa kwa magonjwa yasiyo ambukiza (NCDs), ikilinganishwa na wanawake. Takwimu hizo zinaonesha vifo ...
Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Erasto Mollel (32) kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Josephine Mngara (30) kwa kumpiga na jembe kichwani, kisha ...