MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amesema ndani ya miaka minne ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Arusha kwa ujumla hisusani jimbo lake wamekuwa wanufaika wakubwa wa miradi ...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iraqhe, leo amezindua rasmi mtambo mpya wa kutengeneza barabara pamoja na malori mawili mapya, yaliyotolewa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya ...