Mashabiki wa Simba leo wanatarajiwa kumimimika kwa wingi, Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, uliopo maeneo ya Mwenge saa 10:00 jioni kuona timu yao baada ya kuzuiwa, Jumapili iliyopita, Uwanja wa ...
Uwanja wa KMC uliopo Mwenge, Dar es Salaam, kabla ya kufanya hivyo tena juzi. Kwa mujibu wa KTDMN, inaonesha kuwa mchezaji anayeongoza kwa kukosa penalti nyingi mpaka sasa ni Aziz Ki, ambaye ...