2. Msaada wangu u katika Bwana, aliyezifanya mbingu na nchi. Katika neno la Mungu tulilosoma hapo juu tumeona muimba Zaburi akizungumza hali ya mazingira aliyokuwa anapitia kwenye maisha yake, amesema ...