Kama sio ile ajali ya ndege ya mwaka 1993 iliyogharimu maisha ya kikosi karibu chote cha Zambia (kasoro yeye na Charles Musonda), basi yawezekana Zambia ingeweka historia katika Kombe la Dunia la 1994 ...