Aidha, Chebukati ameugua kwa takriban wiki moja na alikuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kabla ya kufariki.
Haya yanajiri siku chache baada ya waasi wa M23 kudhibiti Bukavu na Goma, miji ambayo ina wakazi wengi DRC. Kwa upande ...
Haya yanajiri siku chache baada ya waasi wa M23 kudhibiti Bukavu na Goma, miji ambayo ina wakazi wengi DRC. Kwa upande ...
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya ...
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini ikiangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo mama cha kujaza gesi asilia kwenye magari eneo la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya ...
Mwanasiasa wa miraba minne, licha ya kufariki dunia, Z’bar ina mzizimo wa kifo chake *2025 uchaguzi mkuu wa kwanza bila Hamad ...
Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu kozi fupi ya lugha na utamaduni wa Kijapani iliyofanyika katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam, DUCE mnamo Februari 4 na 5 mwaka huu.
Mkaa wa Briketi hutengenezwa kutoka kwa vumbi la mkaa wa kawaida, taka za kilimo au mabaki ya mbao, na hutumiwa kimsingi kwa ...
VIJANA wanne kati ya 697 wa shindano la wabunifu mtandaoni (Cyber-Champions 2025) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Intaneti Duniani, wamepata nafasi ya kufanya mafunzo kazini katika kituo cha ...
Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ...
Mmoja wa wanafunzi wanaofadhiliwa na USAID, Patience Yamikani Chakwama anayesoma chuo kikuu cha MUST, amesema kuwa kusitishwa kwa misaada hiyo ya kigeni kulitangazwa kabla ya wanafunzi kupokea fedha ...
Kwa kurekebisha sera za kodi kwa nyongeza na kuchochea ufanisi, Sweden ilipata utulivu wa muda mrefu wa kifedha. Je, mbinu ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果