Polisi nchini Kenya wamewatia mbaroni watu wanne wakiwamo raia wawili wa kigeni, wakiwatuhumu kutoa shahada za uzamili ...
KIONGOZI Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan ...
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini ikiangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo mama cha kujaza gesi asilia kwenye magari eneo la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Mgombea huyu mwenye umri wa miaka 55 ana Shahada ya Uzamifu/PhD katika Ikolojia ya Mimea na BSc katika Botany na Zoology kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Anawania kiti cha urais kwa tikiti ya chama ...
Jukumu kubwa ni kusimamia vipengele vyote vya kura katika kituo cha kupigia kura anachowajibikia, kuhakikisha uendeshaji wa uchaguzi unafuata sheria. Msimamizi wa Uchaguzi anatakiwa asiwe na ...