18 Februari 2025 Kuna idadi kubwa ya Wamarekani wenye asili ya Afrika, wakiwa katika harakati za kutafuta historia zao na asili zao, wanaoamua kufanya uamuzi wa kudumu wa kuondoka Marekani na ...
Ugonjwa wa saratani ni miongoni mwa magonjwa yanayoleta madhara makubwa kiafya na hata kusababisha vifo kwa mamilioni ya watu ulimwenguni. Kwa wengi, kugundulika na saratani ni kama hukumu ya kifo ...
Waasi wa M23, ambao wana silaha za kisasa, ni sehemu ya harakati ndefu za waasi wa Kitutsi Mashariki mwa Congo, mgogoro unaoendelea kutokana na mvutano wa kikabila, mamlaka, na rasilimali za madini, ...